sw_2ch_text_reg/34/33.txt

1 line
256 B
Plaintext

\v 33 Yosia akapeleka mbali mambo yote ya machukizo kutoka kwenye nchi iliyomilikiwi na watu wa Israeli. Akamfanya kila mtu katika Israeli amwabudu Yahwe, Mungu wao. Kwa maisha ya siku zake zote, hawakugeuka mbali kwa kutomfuata Yahwe, Mungu wa mababu zao.