sw_2ch_text_reg/34/23.txt

1 line
583 B
Plaintext

\v 23 Akasema kwao, "Hivi ndivyo Yahwe, Mungu wa Israeli, anasema: Mwambie mtu aliyewatuma kwangu, \v 24 Hivi ndivyo Yahwe anasema: Ona, niko karibu kuleta maafa juu ya sehemu hii na wakaaaji wake, laana zote zilizoandikwa katika kitabu walichokisoma mbele ya mfalme wa Yuda. \v 25 Kwa sababu wamenisahau na wametoa sadaka za uvumba kwa miungu mingine, ili kwamba waniweke katika hasira kwa matendo yote waliyofanya -- kwa hiyo hasira yangu itamiminwa juu ya hii sehemu, na haitazimwa. (Badala ya "ambayo yamemiminwa juu yetu", baadhi ya matoleo yana "amabyo yamemlikwa dhidi yetu".)