sw_2ch_text_reg/34/14.txt

1 line
450 B
Plaintext

\v 14 Walipozileta fedha ambazo zilikuwa zimeletwa kwenye nyumba ya Yahwe, Hilkia yule kuhani alikipata kitabu cha sheria ya Yahwe ambacho kilikuwa kimetolewa kupitia Musa. \v 15 Hilkia akamwambia Shafani yule mwandishi, "Nimekipata kitabu cha sheria katika nyumba ya Yahwe". Hilikia akakileta kitabu kwa Shefani. \v 16 Shefani akakipeleka kitabu kwa mfalme, na pia akatoa taarifa kwake, akisema, "Watumishi wako wanafanya kila kitu walichokabidhiwa.