sw_2ch_text_reg/34/04.txt

1 line
369 B
Plaintext

\v 4 Watu wakazivunja madhabahu za Baali katika uwepo wake; akazibomoa nguzo za Maashera na na zile sanamu za kuchonga, na sanamu za chuma ya kuyeyushwa katika vipande hadi zikawa mavumbi. Akayasambaza mavumbi juu ya makaburi ya wale ambao walizitolea sadaka. \v 5 Akaichoma mifupa ya makuhani wao juu ya madhabahu zao. Katika namna hii, akaisafisha Yuda na Yerusalemu.