sw_2ch_text_reg/32/22.txt

1 line
561 B
Plaintext

\v 22 Katika namna hii, Yahwe akamwokoa Hezekia na wakazi wa Yerusalemu kutoka kwenye mkono wa Senakeribu, mfalme wa Ashuru, na kutoka kwenye mikono ya wengine, na akawapa pumzika juu ya kila upande. (Maandishi ya kale yanasema hivi: badala ya "akawapa pumziko juu ya kila pande", baadhi ya matoleo ya zamani na ya kisasa yanasema, "akawaongoza juu ya kila pande"). \v 23 Wengi walikuwa wakileta sadaka kwa Yahwe katika Yarusalemu, na zawadi za thamani kwa Hezekia mfalme wa Yuda, kwa hiyo aliinuliwa mbele za macho ya mataifa yote toka wakati huo na kuendelea.