sw_2ch_text_reg/28/22.txt

1 line
319 B
Plaintext

\v 22 Mfalme Ahazi huyu huyu akatenda dhambi hata zaidi dhidi ya Yahwe katika muda wa mateso yake. \v 23 Kwa maana aliwatolea dhabihu mingu wa Dameski, miungu ambao walimshinda. Akasema, "Kwa sababu miungu wa mfalme wa Aramu waliwasaidia, nitawatolea sadaka ili wanisaidie." Lakini walikuwa watesi wake na Israeli yote.