sw_2ch_text_reg/26/22.txt

1 line
319 B
Plaintext

\v 22 Mambo mengine kuhusu Uzia, mwanzo na mwisho, yako katika kile ambacho Isaya, mwana wa Amozi, nabii, aliandika. \v 23 Kwa hiyo Uzia akalala pamoja na babu zake; walimzka pamoja na babu zake katika uwanja wa maziko wa Mfalme, kwa maana walisema, "Ni mwenye ukoma". Yothamu, mwanaye, akawa mfalme katika nafasi yake.