sw_2ch_text_reg/26/11.txt

1 line
457 B
Plaintext

\v 11 Zaidi ya hayo, Uzia alikuwa na jeshi la wanaume wa kupigana vita ambao walienda vitani katika makundi ambayo idadi yake ilikuwa imehesabiwa na Yeieli, mwandishi. na Maaseya, afisa, chini ya mamlaka ya Hanania, mmoja wa maamri jeshi wa mfalme. \v 12 Jumla ya wakuu wa nyumba za mababu, watu wa kupigana vita, walikuwa 2, 600. \v 13 Chini ya mkono wao kulikuwa na jeshi la watu 307, 500 ambao walifanya vita kwa nguvu ili kumsaidia mfalme idi ya maadui.