sw_2ch_text_reg/25/27.txt

1 line
300 B
Plaintext

\v 27 Sasa kutoka wakati amabaoa Amazia aligeukia mbali asimfuate Yahwe, walianza kupanga njama zidi yake katika Yerusalemu. Akakimbilia Lachishi, lakini wakatuma watu nyuma yake wamfuate Lachishsi na walimuua huko. \v 28 Wakamleta juu ya farasis na wakamzika pamoja na babu zake kataika Mji wa Yuda.