sw_2ch_text_reg/19/04.txt

1 line
258 B
Plaintext

\v 4 Yehoshafati akaishi katika Yerusalemu; na akaenda nje tena miongoni mwa watu wa Beer- sheba hadi nchi ya kilima ya Efraimu na akawarudisha kwa Yahwe, Mungu wa baba zao. \v 5 Akaweka waamuzi katika nchi katika miji yote ya Yuda yenye angome, mji kwa mji.