sw_2ch_text_reg/18/31.txt

1 line
322 B
Plaintext

\v 31 Ikawa kwamba maakida wa magari walipomuona Yehoshafati wakasema, "Yule ni mfalme wa Israeli." Wakageka kumzunguka wamvamie, lakini Yehoshafati akalia, na Yahwe akamsaidia. Mungu akawageza nyuma kutoka kwake. \v 32 Ikawa kwamba maakida wa magari walipoona ya kuwa hakuwa mfalme wa Israeli, wakarudi nyuma wasimfukuze.