sw_2ch_text_reg/18/28.txt

1 line
489 B
Plaintext

\v 28 Kwa hiyo Ahabu, mfalme wa Israeli, na Yehoshafati, mfalme wa Yuda, wakaenda juu ya Ramothi-giledi. \v 29 Mfalme wa Israeli akamwamabia Yehoshafati, "Nitajibadilisha mwenyewe na kwenda vitani, lakini wewe vaa mavazi yako ya kifalme." Kwa hiyo mfalame wa Israeli akajibalisha, na wakaenda vitani. \v 30 Sasa mfalme wa Aramu alikuwa amewaamuru maakida wa magari yake, akisema, Msiwavamie wanajeshsi wasio wa muhimu wala wanajeshsi muhimu. Badala yake, mvamieni mfalme wa Israeli pekee,"