sw_2ch_text_reg/18/25.txt

1 line
414 B
Plaintext

\v 25 Mfalme wa Israeli akasema kwa baadhi ya watumishi, " Enyi watu mkamateni Mikaya na mmpeleke hadi Amoni, mkuu wa mji na, na kwa Yoashi, mwanangu. \v 26 Nanyi mtamwambia, 'Mfalme anasema: Mweke gerezanai huyu mtu na umlishe kwa mkate kiogo tu na maji kidogo tu, mpaka nitakaporudi salama." \v 27 Kisha Mikaya akasema, "Kama utarudi salama, Yahwe hajasema nami."Kisha akaongeza, "Sikiliza haya, enyi watu wote."