sw_2ch_text_reg/18/23.txt

1 line
283 B
Plaintext

\v 23 Kisha Zedekia mwana wa Kenaana, akaja, akampiga kofi mika juu ya shavu, na kusema, "Kwa njia gani Roho wa Yahwe alitoka kwangu ili aseme nawe?" \v 24 Mika akasema, Angalia, utalijua hilo katika siku hiyo, mtakapokimbia katika baadhi ya vyumba vya ndani kwa ajili ya kujificha."