1 line
334 B
Plaintext
1 line
334 B
Plaintext
\v 15 Kisha mfalme akasema kwake, "Ni mara ngapi ninapaswa kukutaka kuapa kutoniambia kitu chochote sispokuwa kweli katika jina la Yahwe? \v 16 Kwa hiyo Mikaya akasema, "Niliwaoana Israeli wametawanyika ktika mlima, kama kondoo wasio na mchungaji, na Yahwe akasema, hawa hawana mchungaji. Ebu kila mtu arudi nyumbani kwake kwa amani." |