sw_2ch_text_reg/18/12.txt

1 line
496 B
Plaintext

\v 12 Mjumbe aliyeenda kumuita Mikaya akasema kwake, akisema, "Sasa angalia, maneno ya manabii yanatangaza mambo mema kwa ajili ya mfalme kwa kinywa kimoja. Tafadhali maneno yako yawe kama maneno ya mmoja wao na sema mambo mema." \v 13 Mikaya akajibu, "Kama Yahwe aishivyo, mimi nitasema kile mbacho Mungu anasema." \v 14 Alipokuja kwa mfalme, mfamle akamwambaia, "Mikaya, tutaenda Ramothi -gileadi kwa ajili ya vita, au la?" Mikaya akamjibu, "Vamia na utashinda! kwa maana utakuwa ushinda mkuu."