sw_2ch_text_reg/18/06.txt

1 line
493 B
Plaintext

\v 6 Lakini Yehoshafati akasema, "Hakuna nabii mwingine hapa wa Yahwe ambaye kwake tunapaswa kutafuta ushauri?" \v 7 Mfale wa Israeli akamwambia Yehoshafati, Bado kuna mtu mmoja amabaye kwake lazima tuutafute ushauri wa Yahwe, Mikaya mwana wa Imla, lakini namchukia kwa sababu yeye huwa hatabiri mema kamwe kuhusu mimi, bali kila mara maovu," Lakini Yehoshafati akasema, " Mfalme hapaswi kusema hivyo." \v 8 Kisha mfalme wa Israeli akamwita akida na kusema, Haraka mlete Mikaya mwana wa Imla."