sw_2ch_text_reg/17/14.txt

1 line
695 B
Plaintext

\v 14 Hapa ni rodha yao, wamepangwa kwa majina ya nyumba za baba zo: Kutoka Yuda, maakida wa maelfu; Adna yule jemedari, na pamoja naye wanaume wa kwenda vitani 300, 000; \v 15 akifuatiwa na Yehonani jemedari, na pamoja naye wanaume 280, 00; \v 16 akifuatiwa na Amasia mwana wa Zikri, ambaye kwa hiari alijitoa kumtumikia Yahwe; na pamoja naye wanaume wa kwenda vitani 200, 000. \v 17 Kutoka Benyamini: Eliada mtu jasiri, na pamoja naye watu 200, 000 waliovaa upinde na ngao; \v 18 akifutiwa na Yehozabadi, na pamoja naye askari 180, 000 waliotayari kwa vita. \v 19 Hawa walikuwa ni wale ambao walimtumikia mfalme, miongoni mwao wale ambao mfalme aliwaweka katika miji ya ngome katika Yuda yote.