sw_2ch_text_reg/17/12.txt

1 line
194 B
Plaintext

\v 12 Yehoshafati akawa na nguvu sana. \v 13 Akajenga ngome na miji ya maghala katika Yuda. Alikuwa na kazi nyingi katika miji ya Yuda, na wanajeshsi—imara, wanaume hodari—katika Yerusalemu.