sw_2ch_text_reg/14/14.txt

1 line
324 B
Plaintext

\v 14 \v 15 Jeshi likaviangamiza vijiji vyote jirani karibu na Garari, kwa kuwa hofu ya Yahwe ilikuwa imekuja juu ya wakaaji. Jeshi likateka vijiji vyote, na vilikuwa na hazina nyingi sana ndani yake. Jeshi pia likaipiga hema ya makazi yawachungaji; wakabeba kondoo kwa wingi, ngamia vile vile, na kisha wakarudi Yerusalemu.