sw_2ch_text_reg/14/07.txt

1 line
424 B
Plaintext

\v 7 Kwa maana Asa aliwaambia Yuda, "Tuijenge miji hii na kuizungushia kuta, na minara, mageti, na makomeo; nchi bado yetu kwa sababu tumemtafuta Yahwe Mungu wetu. Tumemtafuta yeye, na ametupa amani katika kila upande." Kwa hiyo walijenga na wakafanikiwa. \v 8 Asa alikuwa na jeshi ambalo lilibeba ngao na mikuki; kutoka Yuda alikuwa na wanaume 300, 000, na kutoka Benyamini, wanaume 280, 000 waliobeba ngao na kuvuta pinde.