sw_2ch_text_reg/12/11.txt

1 line
310 B
Plaintext

\v 11 Ikawa kwamba mfalme kila alipoingia katika nyumba ya Yahwe, walinzi wakazibeba; kisha wakazirudisha katika nyumba ya ulinzi. \v 12 Rehoboamu alipojinyenyekeza mwenyewe, ghadhabu ya Yahwe ikampisha mbali, kwa hiyo hakumwangamiza kabisa ; pembeni, bado kulikuwa na baadhi ya wema wa kupatikana katika Yuda.