sw_2ch_text_reg/12/09.txt

1 line
408 B
Plaintext

\v 10 \v 9 Kwa hiyo Shishaki, mfalme wa Misiri akaja Yerusalemu akazichukua hazina katika nyumba ya Yahwe, na hazina katika nyumba ya mfalme. akachukua kila kitu; pia akazichukua ngao za dhahabu alizokuwa amezitengeneza Sulemani. 10 Mfalme Rehoboamu akatengeneza ngao za shaba katika nafasi zake na kuzikabidhi mikoni mwa maamrijeshi wa walinzi, ambao waliilinda milango ya kuelekea kwenye nyumba ya mfalme.