sw_2ch_text_reg/12/07.txt

1 line
347 B
Plaintext

\v 7 Yahwe alipoona kuwa wamejinyenyekeza, neno la Yahwe likamjia Shemaya, likisema, "Wamejinyenyekesha. Stawaadhibu; nitawaokoa kwa hatua fulani, na hasira yangu haitamiminwa juu ya Yerusalemu kwa mkono wa Shishaki. \v 8 Vile vile, watakuwa watumishi wake, ili kwamba wajue nini maana ya kunitumikia mimi na kuwatumikia watawala wa nchi zingine."