sw_2ch_text_reg/11/16.txt

1 line
376 B
Plaintext

\v 16 Watu kutoka kabila zote za Israeli wakaja nyuma yao, wale walioku wameiilekeza mioyo yao kumtafuta Yahwe, Mungu wa Israeli; wakaja Yerusalemu kwa ajili ya kumtolea dhabihu Yahwe. Mungu wa baba zao. \v 17 Kwa hiyo wakauimarisha ufalme wa Yuda na kumfanya imara Rehoboamu mwana wa Sulemani kwa miaka mitatu, na wakatembea kwa miaka mitatu katika njia ya Daudi na Sulemani.