sw_2ch_text_reg/11/11.txt

1 line
218 B
Plaintext

\v 11 Akaziimarisha ngome na kuweka maamri jeshsi ndani yake, pamoja na hazina ya chakula, mafuta, na divai. \v 12 Akaweka ngao na mikuki katika miji yote na kuifanya imara sana. Kwa hiyo Yuda na Benyamini zikawa zake.