sw_2ch_text_reg/11/01.txt

1 line
220 B
Plaintext

\c 11 \v 1 Rehoboamu alipofiki Yerusalemu, akawakusanya nyumba ya Yuda na Benyamini, wanaume 180, 000 waliochaguliwa ambao walikuwa wanajeshi, kwa ajili ya kupigana dhiidi ya Israeli, ili kuurudisha ufalme kwa Rehoboamu.