1 line
291 B
Plaintext
1 line
291 B
Plaintext
\v 15 Mfalme Sulemani akatengeneza ngao kubwa mia mbili za dhahabu iliyofuliwa. Shekeli mia sita za dhahabu zikatumika kwa kila ngao. \v 16 Pia akatengeneza ngao mia tatu za dhahabu iliyopigwa. Minas tatu za dhahabu zikaenda kwa kila ngao; mfalme akaziweka kwenye ikulu ya Msitu wa Lebanoni. |