sw_2ch_text_reg/08/11.txt

1 line
237 B
Plaintext

\v 11 Sulemani akamleta binti Farao nje ya mji wa Daudi kwenye nyumba aaliyokuwa amemjengea, kwa maana alisema, "Mke wangu lazima asiishi katika nyumba ya Daudi mfalme wa Israeli, kwa sababu kila linapokuja sanduku la Yahwe ni pakatifu".