sw_2ch_text_reg/08/09.txt

1 line
338 B
Plaintext

\v 9 Vile vile, Sulemani hakuwafanyisha kazi kwa nguvu watu wa Israeli. Badala yake, wakawa wanajeshi wake, maakida wake, wakuu wake, na maakida wa magari ya majeshi yake na wapanda farasi wake. \v 10 Pia hawa walikuwa wakuu wa wakuu wakisimamia wasimamizi waliokuwa wa mfalme Sulemani, walikuwa 250, waliowasimamia watu walioifanya kazi.