sw_2ch_text_reg/07/11.txt

1 line
380 B
Plaintext

\v 11 Hivyo Sulemani akaimaliza nyumba ya Yahwe na nyumba yake mwenyewe. Kila kitu kilichokuja katika moyo wa Sulemani kwa ajili ya kukitengeneza katika nyumba ya Yahwe na katika nyumba yake mwenyewe, alikitimiza kwa mafanikio. \v 12 Yahwe akamtokea Sulemani usiku na kusema kwake, "Nimesikia maombi yako, na nimeichagua sehemu hii kwa ajili yangu mwenyewe kama nyumba ya dhabihu.