sw_2ch_text_reg/06/24.txt

1 line
306 B
Plaintext

\v 24 Watu wako watakaposhindwa na adui kwa sababu wamekutenda dhambi, kama watageuka nyuma kwako, wakilikili jina lako, wakisali na kuomba msamaha mbele zako hekaluni— \v 25 basi tafadhali sikia mbinguni na usamehe dhambi za watu wako Israeli; uwarudishe katika nchi uliyoitoa kwa ajili yao na baba zao.