sw_2ch_text_reg/05/09.txt

1 line
352 B
Plaintext

\v 9 Miti ilikuwa mirefu sana kwamba ncha zake zilionekana kutoka ile sehemu takatifu mbele ya chumba cha ndani, lakini hazikuweza kuonekana kutoka nje. Zipo hapo hadi leo. \v 10 Hapakuwa na kitu katika sanaduku isipokuwa zile meza mbili ambazo Musa aliziweka humo huko Horebu, wakati Mungu alipofanya agano na watu wa Israeli, walipotoka nje ya Misri.