1 line
291 B
Plaintext
1 line
291 B
Plaintext
\v 7 Makuhani wakalileta sanduku la angano la Yahwe ndani mahali pake, katika chumba cha ndani cha nyumba, kwenye patakatifu pa patakatifu, chini ya mabawa ya makerubi. \v 8 Kwa kuwa makerubi walitandaza mabawa yao juu ya mahali pa sanduku, na walilifunika sanduku na miti yake ya kulibebea. |