sw_2ch_text_reg/05/01.txt

1 line
258 B
Plaintext

\c 5 \v 1 Wakati ilipomalizika kazi aliyofanya Sulemani kwa ajili ya Yahwe, Sulemani akapeleka vitu ndani, ambavyo Daudi, baba yake, aliviweka wakfu kwa kusudi hilo, pamoja na zile fedha, dhahabu, na vyombo vyote akavileta ndani ya hazina ya nyumba ya Mungu.