sw_2ch_text_reg/04/14.txt

1 line
304 B
Plaintext

\v 14 Pia akavitengeneza vitako na mabirika juu ya kitako, \v 15 bahari moja na wale ng'ombe kumi na wawili chini yake, \v 16 pia masufuria, majembe, nyuma za nyama, na vyombo vingine vyote. Huramu mtaalamu akavifanya kwa ajili ya Mfalme Sulemani, kwa ajili ya nyumba ya Yahwe, vya shaba iliyong'arishwa.