sw_2ch_text_reg/02/15.txt

1 line
280 B
Plaintext

\v 15 Sasa, ngano na shayiri, mafuta na mvinyo, ambayo bwana wangu alisema, na apeleke sasa vitu hivi kwa watumishi wake. \v 16 Tutakata mbao kutoka Lebanoni, mbao nyingi kadri unavyohitaji. Tutazileta kwako kama mitumbwi kupitia bahari kwenda Yafa, na utazibeba hadi Yerusalemu."