sw_2ch_text_reg/02/13.txt

1 line
505 B
Plaintext

\v 13 Sasa nimemtuma mtu mwenye ujuzi, mwenye karama ya uelewa, Hiramu, mtaalamu wangu. \v 14 Ni mwana wa mwanamke wa binti za Dani. Baba yake alikuwa mtu kutoka Tiro. Ana ujuzi katika kazi za dhahabu, fedha, shaba, chuma, mawe, na katika mbao, na katika dhambarau, samawati, na sufu yenkundu, na kitani safi. Pia ana ujuzi katika kutengeneza michoro ya aina yoyote na katika kubuni kitu chochote. Apatiwe nafasi miongoni mwa watumishi wako wenye ujuzi, na pamoja na wale wa bwana wangu, Daudi, baba yako.