\c 1 \v 1 Sulemani mwana wa Daudi, aliimarishwa katika utawala wake, na Yahwe Mungu wake alikuwa pamoja naye na alimpa nguvu nyingi sana.