\v 5 Yeroboamu akaishi katika Yerusalemu na kujenga miji katika Yuda kwa ajili ya kujilinda. \v 6 Akaijenga Bethelehemu, EtamuTekoa, \v 7 Bethsusi, Soko, Adulamu, \v 8 Gathi, Maresha, Zifu, \v 9 Adoraimu, Lakishi, Azeka, \v 10 Sora, Aiyaloni, na Hebroni. Hii ni miji yenye ngome katika Yuda na Benyamini.