\v 8 Lakini Rehoboamu akapuuza ushauri wa wazee ambao walimpa, na akashauriana na wanauame vijana ambao walikuwa wa rika lake, ambao walisimama mbele yake. \v 9 Akawaamabia, "Mnanipa ushauri gani, ili kwamba niwajibu watu waliozungumza kwangu na kusema, "Ifanye nyepesi nira yako ambayo baba yako aliiweka juu yetu'?"