Fri Jan 13 2023 07:32:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-13 07:32:48 +03:00
parent 898ddde2dc
commit fdcdd78ce1
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 31 Mfalme akasimama katika sehemu yake na kufanya agano mbele za Yahwe, kutembea mbele za Yahwe, na kuzishika amri zake, taratibu zake, na sheria zake, kwa moyo wake wote na roho yake yote, kuyatii maneno ya agano yaliyokuwa yameandikwa katika agano ambayo yalikuwa yameandikwa katika kitabu hiki. \v 32 Aliwasababisha wote walioonekana katika Yerusalemu na Benyamini kusimama kwa agano. Wakaaji wa Yerusalemu wakatembea kwa agano la Mungu, Mungu wa babu zao.
\v 31 Mfalme akasimama katika sehemu yake na kufanya agano mbele za Yahwe, kutembea mbele za Yahwe, na kuzishika amri zake, taratibu zake, na sheria zake, kwa moyo wake wote na roho yake yote, kuyatii maneno ya agano yaliyokuwa yameandikwa katika kitabu hiki. \v 32 Aliwasababisha wote walioonekana katika Yerusalemu na Benyamini kusimama kwa agano. Wakaaji wa Yerusalemu wakatembea kwa agano la Mungu, Mungu wa babu zao.

View File

@ -1 +1 @@
\v 33 Yosia akapeleka mbali mambo yote ya machukizo kutoka kwenye nchi iliyomilikiw na watu wa Israeli. Akamfanya kila mtu katika Israeli amwabudu Yahwe, Mungu wao. Kwa maisha siku zake zote, hawakugeka mbali kwa kutomfuata Yahwe, Mungu wa mababu zao.
\v 33 Yosia akapeleka mbali mambo yote ya machukizo kutoka kwenye nchi iliyomilikiwi na watu wa Israeli. Akamfanya kila mtu katika Israeli amwabudu Yahwe, Mungu wao. Kwa maisha siku zake zote, hawakugeka mbali kwa kutomfuata Yahwe, Mungu wa mababu zao.

View File

@ -61,6 +61,7 @@
"34-23",
"34-26",
"34-29",
"34-31",
"35-title",
"35-01",
"35-03",