Sat Feb 11 2023 14:58:18 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
084740b627
commit
fbacda7f50
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 9 Vile vile, Sulemani hakuwafanyisha kazi kwa nguvu watu wa Israeli. Badala yake, wakawa wanajeshsi wake, maakida wake, wakuu wake, na maakida wa magari ya majeshi yake na wapanda farasi wake. \v 10 Pia hawa walikuwa wakuu wa wakuu wakisimamia wasimamizi waliokuwa wa mfalme Selemani, walikuwa 250, waliowasimamia watu walioifanya kazi.
|
||||
\v 9 Vile vile, Sulemani hakuwafanyisha kazi kwa nguvu watu wa Israeli. Badala yake, wakawa wanajeshi wake, maakida wake, wakuu wake, na maakida wa magari ya majeshi yake na wapanda farasi wake. \v 10 Pia hawa walikuwa wakuu wa wakuu wakisimamia wasimamizi waliokuwa wa mfalme Sulemani, walikuwa 250, waliowasimamia watu walioifanya kazi.
|
Loading…
Reference in New Issue