Sat Feb 11 2023 15:30:18 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-11 15:30:19 +03:00
parent e5f813b421
commit f016be04c0
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 22 Kwa hiyo Mfalme Sulemani aliawazidi utajiri na hekima wafalme wote wa dunia. \v 23 Dunia yote waliutafuta uwepo wa Sulemani ili kusikia hekima yake, ambayo Mungu alikuwa ameiweka katika moyo wake. \v 24 Waliomtembelea walileta kodi, vyombo vya shaba na dhahabu, nguo, silaha, na manukato, na farasi na anyumbu, mwaka baada ya mwaka.
\v 22 Kwa hiyo Mfalme Sulemani aliawazidi utajiri na hekima wafalme wote wa dunia. \v 23 Dunia yote waliutafuta uwepo wa Sulemani ili kusikia hekima yake, ambayo Mungu alikuwa ameiweka katika moyo wake. \v 24 Waliomtembelea walileta kodi, vyombo vya shaba na dhahabu, nguo, silaha, na manukato, na farasi na nyumbu, mwaka baada ya mwaka.

View File

@ -1 +1 @@
\v 25 Selemani alikuwa na mazizi elfu nne kwa ajili ya farasi na magari, na wapanda farasi kumi na mbili elfu, ambao waliwaweka katika miji ya magari na pamoja naye katika Yerusalemu. \v 26 Akatawala juu ya wafalme wote kutoka mto Efrati hadi nchi ya Wafilisti, na hadi mpaka wa Misiri.
\v 25 Sulemani alikuwa na mazizi elfu nne kwa ajili ya farasi na magari, na wapanda farasi kumi na mbili elfu, ambao waliwaweka katika miji ya magari na pamoja naye katika Yerusalemu. \v 26 Akatawala juu ya wafalme wote kutoka mto Efrati hadi nchi ya Wafilisti, na hadi mpaka wa Misiri.

View File

@ -129,6 +129,7 @@
"09-17",
"09-19",
"09-22",
"09-25",
"33-title",
"33-01",
"33-04",