Sat Feb 11 2023 15:06:18 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-11 15:06:18 +03:00
parent 4e9b3c6825
commit efd8431d05
3 changed files with 3 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 16 Kazi yote aliyoagizwa na Sulemani ikakamilika, kutoka siku msingi wa nyumba ya Yahwe ulipowekwa hadi ilipokamilika. Nyumba ya Yahwe ikamalizika. Kisha Selemani akaenda Esion geberi, na Elothi, juu ya pwani katika nchi ya Edomu. Hiramu akatuma meli zake kupitia watumishi wake ambao walikuwa wana maji wenye uzoefu. Wakasafiri na Selemani na watumishi wa Semani hadi Ofiri. Wakachukua kutoka huko talanta 450 za dhahabu ambazo walimletea Selemani.
\v 16 Kazi yote aliyoagizwa na Sulemani ikakamilika, kutoka siku ya msingi wa nyumba ya Yahwe ulipowekwa hadi ilipokamilika. Nyumba ya Yahwe ikamalizika.

1
08/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 \v 18 Kisha Sulemani akaenda Esion geberi, na Elothi, juu ya pwani katika nchi ya Edomu. Hiramu akatuma meli zake kupitia watumishi wake ambao walikuwa wana maji wenye uzoefu. Wakasafiri na Sulemani na watumishi wa Semani hadi Ofiri. Wakachukua kutoka huko talanta 450 za dhahabu ambazo walimletea Selemani.

View File

@ -115,6 +115,7 @@
"08-11",
"08-12",
"08-14",
"08-16",
"33-title",
"33-01",
"33-04",