Wed Dec 21 2022 15:24:51 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-12-21 15:24:51 +03:00
parent eaadc2f6f1
commit edad680f06
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Mfalme akawapeleka mbali Babeli wale waliokuwa wameoka na upanga. Wakawa watumishi kwa ajili yake na wanawe hadi utawala wa Waajemi. \v 21 Hili lilitokea ili kulitimiza neno la Yahwe kwa kinywa cha Yeremia, hadi nchi itakapokuwa imefurahia mapumziko ya Sabato yake. Iliishika Sabato kwa muda mrefu hadi kukataliwa kwake, ili miaka sabini itimie katika namna hii.
\v 20 Mfalme akawapeleka mbali Babeli wale waliokuwa wameoka na upanga. Wakawa watumishi wake pamoja na wanawe hadi utawala wa Waajemi. \v 21 Hili lilitokea ili kulitimiza neno la Yahwe kwa kinywa cha Yeremia, hadi nchi itakapokuwa imefurahia mapumziko ya Sabato yake. Iliishika Sabato kwa muda mrefu hadi kukataliwa kwake, ili miaka sabini itimie katika namna hii.