Sat Feb 11 2023 15:34:18 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
ac1e5b5d2f
commit
e6afa31fff
|
@ -1 +1 @@
|
||||||
\v 29 \v 30 \v 31 Kwa mambo mengine kuhusu Selemani, mwanzo na mwisho, hayajandikwa katika Historia ya Nathani Nabii, katika unabii wa Abiya Mshinoni, na katika Maono ya Ido mwonaji wa mambo ya Yeroboamu mwana wa Nabati? Selemani akatawala katika Yerusalemu juu ya Israeli yote kwa miaka arobaini. Akalala na babu zake na watu wakamzika katika mji wa Daudi baba yake. Rehoboamu, mwanaye, akawa mfalme katika sehemu yake.
|
\v 29 \v 30 \v 31 Kwa mambo mengine kuhusu Sulemani, mwanzo na mwisho, hayajandikwa katika Historia ya Nathani Nabii, katika unabii wa Abiya Mshinoni, na katika Maono ya Ido mwonaji wa mambo ya Yeroboamu mwana wa Nabati? Sulemani akatawala katika Yerusalemu juu ya Israeli yote kwa miaka arobaini. Akalala na babu zake na watu wakamzika katika mji wa Daudi baba yake. Rehoboamu, mwanaye, akawa mfalme katika sehemu yake.
|
Loading…
Reference in New Issue