Sat Feb 11 2023 13:24:17 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-11 13:24:17 +03:00
parent 52f99449dc
commit e615dde3fb
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Kisha Selemani akasema, "Yahwe alisema kwamba ataishi katika giza nene, \v 2 lakini nimekujengea makao makuu, sehemu kwa ajili yako ya kuishi milele." \v 3 Kisha mfaalme akageuka nyuma na kuwabariki kusanyiko lote la Israeli, wakati kusanyiko lote la Israeli walikuwa wamesimama.
\c 6 \v 1 Kisha Sulemani akasema, "Yahwe alisema kwamba ataishi katika giza nene, \v 2 lakini nimekujengea makao makuu, sehemu kwa ajili yako ya kuishi milele." \v 3 Kisha mfalme akageuka nyuma na kuwabariki kusanyiko lote la Israeli, wakati kusanyiko lote la Israeli walikuwa wamesimama.

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Akasema, "Yahwe, Mungu wa Israeli, usifiwe, uliyesema na Daudi baba yangu, na ametimiza kwa mikono yake mwenyewe, akisema. \v 5 'Tangu siku nilipowaleta watu wanagu nje ya nchi ya Misiri, sikuchaagua mji wowote nje ya makabaila yote ya Israeli ambamo nyumba ingejengwa, ili jina lanagu liwe humo. Wala sikuchagua mtu yeyote kuwa mfalme juu ya watu wangu Israeli. \v 6 Aidha, nimechagua Yeruselemu, ili kwamba jina langu liwe humo, na nimemchagua Daudi kuwa juu ya watu wanagu Israeli. '
\v 4 Akasema, "Yahwe, Mungu wa Israeli, usifiwe, uliyesema na Daudi baba yangu, na ametimiza kwa mikono yake mwenyewe, akisema. \v 5 'Tangu siku nilipowaleta watu wanagu nje ya nchi ya Misiri, sikuchagua mji wowote nje ya makabaila yote ya Israeli ambamo nyumba ingejengwa, ili jina lanagu liwe humo. Wala sikuchagua mtu yeyote kuwa mfalme juu ya watu wangu Israeli. \v 6 Aidha, nimechagua Yeruselemu, ili kwamba jina langu liwe humo, na nimemchagua Daudi kuwa juu ya watu wanagu Israeli. '

View File

@ -79,6 +79,7 @@
"05-11",
"05-13",
"06-title",
"06-01",
"33-title",
"33-01",
"33-04",