Thu Jan 26 2023 11:11:26 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-26 11:11:26 +03:00
parent 4eb78ceea7
commit e4fd892471
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Sulemani akasema kwa Mungu, "Umeonyesha agano la uaminifu mkuu kwa Daudi baba yangu, na umenifanya mfalme katika nafasi yaye. \v 9 Sasa, Yahwe Mungu, ahadi yako kwa Daudi baba yangu itimie, maana umenifanya mfalme juu ya watu wengi kama mavumbi ya dunia. \v 10 Sasa nipe hekima na maarifa, ili niweze kuwaongoza watu hawa, maana ni nani anayeweza kuwaamua watu wako, ambao ni wengi sana kwa idadi?" \v 11 Mungu akasema kwa Selemani, "Kwa kuwa hili lilikuwa kwenye moyo wako, na kwa kuwa hujaomba mali, utajiri, au heshima, wala maisha ya wale wanaokuchukia, wala maish marefu kwa jili yako binafsi, lakini umeomba hekima na maarifa kwa ajili yako, ili uwatawale watu wangu, ambao juu yao nimekufanya mfame, na hivi ndivyo nitafanya.
\v 8 Sulemani akasema kwa Mungu, "Umeonyesha agano la uaminifu mkuu kwa Daudi baba yangu, na umenifanya mfalme katika nafasi yaye. \v 9 Sasa, Yahwe Mungu, ahadi yako kwa Daudi baba yangu itimie, maana umenifanya mfalme juu ya watu wengi kama mavumbi ya dunia. \v 10 Sasa nipe hekima na maarifa, ili niweze kuwaongoza watu hawa, maana ni nani anayeweza kuwaamua watu wako, ambao ni wengi sana kwa idadi?" \v 11 Mungu akasema kwa Sulemani, "Kwa kuwa hili lilikuwa kwenye moyo wako, na kwa kuwa hujaomba mali, utajiri, au heshima, wala maisha ya wale wanaokuchukia, wala maisha marefu kwa jili yako binafsi, lakini umeomba hekima na maarifa kwa ajili yako, ili uwatawale watu wangu, ambao juu yao nimekufanya mfalme, na hivi ndivyo nitafanya.

View File

@ -40,6 +40,7 @@
"01-01",
"01-02",
"01-06",
"01-08",
"33-title",
"33-01",
"33-04",