From e167c40995a96e9f90c6d1fb381178d3338b5c35 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Thu, 26 Jan 2023 11:33:26 +0300 Subject: [PATCH] Thu Jan 26 2023 11:33:26 GMT+0300 (East Africa Time) --- 02/06.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/02/06.txt b/02/06.txt index b042964..28d6633 100644 --- a/02/06.txt +++ b/02/06.txt @@ -1 +1 @@ -\v 6 Lakini ni nani anayeweza kumjengea Mungu nyumba, kama dunia yote na hata mbigu yenyewe haviwezi kumtosha? Mimi ni nani hata nimjengee nyumba, isipokuwa kufukiza kwa sadaka za kufukiza mbele zake? \v 7 Kwa hiyo nileteeni mtu mwenye ujuzi wa kazi katika kazi ya dhahabu, fedha, shaba, na chuma, na ya dhambarau, na nyekundu, na sufu ya samawati, mtu anayejua kutengeza aina zote za mapambo ya mbao. Atakuwa na watu wenye ustadi waliopamoja nami katika Yuda na Yerusalemu, ambao Daudi baba yangu aliwaweka. \ No newline at end of file +\v 6 Lakini ni nani anayeweza kumjengea Mungu nyumba, kama dunia yote na hata mbigu yenyewe haviwezi kumtosha? Mimi ni nani hata nimjengee nyumba, isipokuwa kufukiza sadaka mbele zake? \v 7 Kwa hiyo nitumie mtu mwenye ujuzi wa kazi katika kazi ya dhahabu, fedha, shaba, na chuma, na ya dhambarau, na nyekundu, na sufu ya samawati, mtu anayejua kutengeza aina zote za mapambo ya mbao. Atakuwa na watu wenye ustadi waliopamoja nami katika Yuda na Yerusalemu, ambao Daudi baba yangu aliwaweka. \ No newline at end of file